4.00(1)

Kipaji Chako: Kukitambua, Kukitunza, Kukiajiri, Kujitofautisha na Kutawala katika Nyanja Yako

Description

Neno kipaji sio neno geni kwetu hasa sisi tuliozaliwa katika miaka ya hivi karibuni. Limezoeleka sana kutokana na kuzungumzwa sana katika maeneo mbalimbali siku hizi. Watu wengi tumekuwa tukilichukulia swala la kipaji kijuu juu tu na sio makini kama linavyotakiwa. Swala hili linafanya maana ya kipaji kupotea na hivyo jamii kuishi bila kutumia nyenzo hii muhimu ya asili.

IF YOU RECOGNIZE YOUR TALENTS, USE THEM APPROPRIATELY, AND CHOOSE A FIELD THAT USES THOSE TALENTS, YOU WILL RISE TO THE TOP OF YOUR FIELD (Kama ukitambua vipaji vyako, vitumie kwa usahii na uchague eneo linalotumia vipaji hivyo, utainuka juu kabisa ya eneo lako). Hii ni kwa mujibu wa nukuu kutoka kwa  Ben Carson kama alivyoandika katika kitabu chake cha Think Big.

Bila kujali ni kipaji cha aina gani. kipaji ni uwezo au nguvu za asili anazokuwa nazo binadamu katika kutenda jambo Fulani kipekee bila kujali kiwango cha ujuzi alionao.Uwezo huu unaweza kuwa katika kufikiri ,kutamka au kutenda, japo kila jambo huusiana moja kwa moja na swala la kufikiri .

Kupitia mada hii nina imani nitajibu maswali mengi kuhusiana na maswala ya kipaji. Nitakuwa nimekusaidia kutambua aina ya kipaji ulicho nacho. Pia namna kitakavyoweza kufanya kazi katika maisha yako.

What Will I Learn?

 • Kukitambua kipaji chako
 • Kukikuza kipaji chako
 • Kukiajiri kipaji chako
 • Kutawala ktk nyanja yako kwa kutumia kipaji chako
 • Kukitumia kipaji kwa faida ya jamii
 • Kuhusihanisha kusudi, maono, ndoto, malengo na kipaji chako
 • Kukusaidia ktk maswali yako
 • Kujadiliana na kujifunza kwa wanafunzi wenzako
 • Kurekebisha makosa yako ya nyuma

Topics for this course

11 Lessons4h 50m

Kipaji Chako

Utangulizi1:32
Kipaji Chako: Kukitambua, Kukitunza, Kukiajiri, Kujitofautisha na Kutawala katika Nyanja Yako
Kipaji ni kitu gani?3:11
Jinsi ya kugundua kipaji4:18
Geuza kipaji chako kuwa pesa4:48
Nidhamu anayohitaji mtu mwenye kipaji1:32
Namna ya kujenga brand kupitia kipaji chako00:6:00
Badilisha kipaji chako kiwe na kiwango cha kimataifa (Building International Brand)00:5:39
Njia za kuingiza pesa kwa kipaji chako bila ya wewe kuwepo eneo la tukio00:5:15
Kipaji kinaweza kufa usipokitunza5:36
Tofauti kati ya kipaji na fedha00:5:17
Utofauti wa kipaji chako na wengine00:4:07
Jaribio la kujipima uelewa wa somo la kipaji
Kipaji jaribio la nyumbani

About the instructor

Joel Arthur Nanauka ni mwandishi wa vitabu na mkufunzi wa masuala ya mafanikio ya maisha.Amejikita katika kuwasaidia watu kutambua uwezo walionao na kuwafundisha mbinu za kutumia ili kutimiza malengo waliyonayo maishani. Amekuwa msaada kwa watu wengi sana kupitia mafunzo yake kwa njia ya vitabu,YouTube,Mitandao ya jamii na makongamano mbalimbali. Joel,ni mmoja wa wazungumzaji ambao wanatafutwa sana na makampuni na kufundisha katika makongamano mbalimbali. Joel ni mwandishi wa vitabu vitano hadi sasa ikiwemo;You Can Rise Again,TIMIZA MALENGO YAKO,ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MABO,OVERCOMING PROCRASTINATION,PASS YOUR EXAMS WITH EASE NA TABIA 12 ZA WATU WANAOFANIKIWA.
4.00 (1 ratings)

1 Courses

1 students

Student Feedback

4.0

Total 1 Ratings

5
0 rating
4
1 rating
3
0 rating
2
0 rating
1
0 rating

Nimeisoma kozi hii na imeninufaisha sana yaani nimeweza kugundua vipaji 'vidogo vidogo' ndani yangu mpaka nimeweza kujua kazi ambazo ninaweza fanya vyema zaidi

Sh 30,000

Material Includes

 • Video adimu ya masaa zaidi ya 4
 • Maswali na majibu
 • Makabrasha tofauti tofauti
 • Pakua vijitabu mbalimbali
 • Cheti cha ushiriki

Enrolment validity: 365 days

Requirements

 • Dafatari la notes
 • Peni au penseli
 • Kiu ya kujifunza
 • Kaa sehemu yenye utulivu
 • Andaa maswali yako

Target Audience

 • Vijana
 • Wafanyakazi
 • Wafanyabiashara
 • Viongozi
 • Watoto wanaokua
 • Yeyote anayetaka kujitambua

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

Jasiri
Logo
Register New Account
Reset Password