0(0)

Mambo muhimu ya kufanya unapojiandaa na kufanya mitihani

 • Categories Academics
 • Duration 02h
 • Total Enrolled 0
 • Last Update 18/08/2021

Description

Semina hii ni maalumu kukusaidia rafiki yangu unapojiandaa na mitihani yako ili uweze fanya maandalizi yenye tija. Unaweza kuwa umesoma vyema na umeelewa vyema ila ukakosea hatua za mwisho katika kujiandaa na kufanya mtihani; sasa embu tujifunze sote hapa namna na mbinu za mwishoni unazoweza tumia kuweza kujiandaa na kufanya mitihani yako vyema ili uweze kufaulu vizuri.

What Will I Learn?

 • Kujua namna ya kujitathmini uwezo wako ktk mitihani inayokuja
 • Kujiwekea malengo mikakati itakayokusaidia uongezeke na kufanya vyema zaidi ktk mitihani
 • Kupata mbinu mbalimbali za kusomea na kufanya mitihani ktk masomo mbalimbali (hisabati, historia, fizikia, kiswahili...)
 • Mfumo mzima wa usomaji mwezi mmoja kabla ya mtihani
 • Kujua namna ya kujiandaa ktk nyanja zote kipindi cha mtihani
 • Namna ya kusubiri matokeo ya mtihani

Topics for this course

25 Lessons02h

Jikague Ulipo

Umejikagua ktk: matokeo yaliyopita, past papers, exams formats…?00:5:00
Jikague hofu ulizo nazo kuhusu mtihani00:3:00
Namna ya kuweka mipango mikakati ya kutatua udhaifu uliouona00:5:00
Muhimu kuhakiki: Afya yako, jina lako la mtihani, hudaiwi ada…00:3:00

Katika usomaji wako

Mbinu za kujianda na kufanya mitihani

Kipindi cha mtihani

Bonasi

About the instructor

Hope Mwaibanje is a writer, researcher, scientist and programmer who has graduated recently in African Leadership Academy, 2021. He loves reading books, watching Sci-fi movies and teaching young students about science. He founded @taifa_hub, an organization based in Tanzania, which aims to help students echo their voices through stories, present their projects and expose them to opportunities across the globe. Hope is also Tanzania One students for form four in 2018 (First Student in Form Four National Exams). Hope wants to be a specialized doctor of medicine in oncologist (a doctor who treats cancer and provides medical care for a person diagnosed with cancer).
0 (0 ratings)

1 Courses

0 students

Sh 2,500

Material Includes

 • Cheti cha ushiriki semina
 • Notisi zenye vidokezo(hints) za semina yetu
 • Video iliyorekodiwa ya semina mwishoni (mtandaoni)

Enrolment validity: 30 days

Requirements

 • Semina itatolewa kwa njia ya ZOOM ambapo unaweza tumia simu au kompyuta
 • Hakikisha unakuwa na bundle angalau 500MB ili uweze kusikiliza semina
 • Kuwa na notebook yako na kalamu ili uweze rekodi point za muhimu kuweza kukusaidia
 • Andaa maswali yako ambayo unaweza muuliza mnenaji ili uweze kutatua changamoto zako zaidi
 • Lipia ujiunge ktk semina hii sasa kabla nafasi hazijajaa kisha siku ya JUMAMOSI, 04/09/2021, SAA 04:00 ASUBUHI uje hapa kwajili ya kumsikiliza mnenaji wetu.

Target Audience

 • Wanafunzi (msingi hadi sekondari)
 • Wazazi
 • Walimu
 • Wadau wa elimu

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

Jasiri
Logo
Register New Account
Reset Password