0(0)

Namna nzuri ya kusoma itakayokusaidia kuelewa, kufaulu masomo na kufurahia shule yako

 • Categories Academics
 • Duration 2h
 • Total Enrolled 0
 • Last Update 18/08/2021

Description

Semina hii ina lengo la kukusaidia ktk swala zima la masomo na kitaaluma. Lengo langu Paul ni kuona wewe rafiki yangu unafanya vyema ktk masomo, unafaulu na pia unafanikiwa maishani. Katika semina hii utajifunza mambo ambayo yatakusaidia wewe binafsi kujijua na kisha ujue mfumo unaofanya kazi vyema kwako ktk masomo ili uweza kufanya vizuri zaidi. Tutazungumzia pia namna ya kusoma na namna ya kufanya mitihani ktk ufanisi zaidi.

What Will I Learn?

 • Kuanza kupenda shule
 • Kujijengea kujiamini
 • Kupata mbinu za kujisomea
 • Kujiwekea nidhamu ktk maisha
 • Kuwa mtu wa malengo ya sasa na ya baadaye

Topics for this course

28 Lessons2h

Utangulizi?

Wasifu wa Paul Luziga na ufafanuzi wa semina yetuzaidi
Wasifu wa Paul Luziga na story yake00:3:00
Kwanini tusome? Je, kuna umuhimu na tija ya muda mrefu?00:4:00
Tusome ili kufaulu au tusome ili kuelewa?00:2:00

Mfumo wako binafsi?

Namna ya kujifahamu wewe ulivyo na mfumo upi uutumie binafsi

Namna ya kuendesha maisha ya kimasomo?

Unatumia zaidi ya miaka 10 ukisoma, sasa tujue namna ya kuendea maisha hayo ili uweze kufanikiwa vyema zaidi

Namna ya kusoma vyema?

Kusoma kunahitaji tabia na mbinu ili uweze kupata ufanisi zaidi

Namna ya kufanya mitihani yako?

Lengo ni kukupa mbinu za muhimu unavyofanya mitihani yako

About the instructor

Paul Luziga

Student

Paul Luziga is Tanzania One in 2020 (First Student in Form Four National Exams). He began schooling at Songwe Magereza Primary School and then Pandahili Secondary School and he is soon to begin grade 12 at Feza International School (FIS). Paul always believes in putting God first, perseverance, group studying and self preparation will make you perform better in your career. In future Paul wants to be a software or computer engineer.
0 (0 ratings)

1 Courses

0 students

Sh 2,500

Material Includes

 • Cheti cha ushiriki semina
 • Notisi zenye vidokezo(hints) za semina yetu
 • Video iliyorekodiwa ya semina mwishoni (mtandaoni)

Enrolment validity: 30 days

Requirements

 • Semina itatolewa kwa njia ya ZOOM ambapo unaweza tumia simu au kompyuta
 • Hakikisha unakuwa na bundle angalau 500MB ili uweze kusikiliza semina
 • Jiunge ktk semina hii kisha siku ya JUMAMOSI, 21/08/2021, SAA 04:00 ASUBUHI uje hapa kwajili ya kumsikiliza mnenaji wetu.

Target Audience

 • Wanafunzi
 • Wazazi
 • Walimu
 • Wadau wa Elimu

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

Jasiri
Logo
Register New Account
Reset Password