0(0)

Ujenzi wa nyumba yako: ipi ujenge? Kiwanja, gharama, maandalizi, usimamizi na taratibu zote kamili za kufuata

 • Categories How to Do
 • Duration 8h 15m
 • Total Enrolled 4
 • Last Update 02/09/2021

Description

Kwanini ujenge nyumba kwa mashaka na kutokuwa na uhakika? Wahenga wanasema wekeza na watu wenye uzoefu na maarifa ya uwekezaji wako, basi pia fanya ujenzi wako ukiwa umepata maarifa mbalimbali kutoka wataalamu ujenzi wa nyumba ili ufanye kwa uhakika zaidi.

Katika semina hii utaweza jifunza mambo yote ya muhimu ambayo yanahitajika tangu kuwa na wazo lako la ujenzi, kununua kiwanja, kuandaa michoro na makabrasha yote ya ujenzi, kuomba kibali ujenzi, kutafuta fundi na kukubaliana naye, kusimamia ujenzi wako, kukagua ujenzi wako, ununuzi wa vifaa na utunzaji wake mpaka kukamilisha hatua zote za ujenzi.

Lengo langu ni uweze fanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa uhakika zaidi. Usisahau kutembelea tovuti yetu ya ujenzi ya www.makazi.ne.tz

What Will I Learn?

 • Kujua aina ya nyumba ambayo inakufaa kujenga
 • Kujua aina ya kiwanja kinachokufaa kununua
 • Kujua gharama za ujenzi za nyumba mbalimbali
 • Kujua namna ya kuokoa gharama ujenzi
 • Kufanya ujenzi wako kwa uhakika
 • Kujua kusimamia nyumba yako vyema
 • Kujua namna ya kutafuta na kukubaliana na fundi wako
 • Cheti cha ushiriki

Topics for this course

48 Lessons8h 15m

Utangulizi

Nini maana ya nyumba?3:10
Je, ni lazima ujenge nyumba au unaweza panga au kutumia za kurithi?9:41
Umri gani uanze kujenge nyumba?5:23

Wazo lako la ujenzi

Viwanja: Taratibu za utafutaji, ununuzi na urasimishaji (na Surveyor Aloyce)

Gharama za ujenzi

Michoro ya ujenzi

Ujenzi na mafundi wake

Vifaa vya ujenzi

Namna ya kusimamia ujenzi wako

Kukamilisha ujenzi wako

About the instructors

Jasiri Team

The Team

Jasiri.co.tz is online seminars and meetings platform that help enthusiasts to come and learn secrets from legends who have succeed in their career and become masters in their industries. Every legend has secrets that s/he has discovered in his/her career journey that has helped him/her to perform better and win to the top; So why don't you being eager to learn those secrets that can help you to win your career in efficient and predictable way?
0 (0 ratings)

1 Courses

0 students

Lwifunyo Mangula ni mtaalamu wa mambo ya ujenzi wa nyumba za kuishi familia ambaye pia ni mwanzilishi wa mtandao wa www.makazi.ne.tz ambao unahusika na ujenzi wa nyumba za Kiafrika kwa kutoa ushauri wa kitaalamu, michoro ya ujenzi, makadirio ya gharama ujenzi na usimamizi wa ujenzi kwa wateja mbalimbali wanaopatikana na kujenga sehemu mbalimbali Afrika kama Nchi za Kenya, Uganda, DRC, Ghana... Lwifunyo Mangula ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika kitivo cha CoET ambaye alichukua Shahada ya Sayansi ktk Uhandisi Ujenzi na Mihimili (Bachelor of Scince in Civil and Structural Engineering) mwaka 2014.
0 (0 ratings)

2 Courses

4 students

Sh 15,000

Material Includes

 • Mifano ya ramani ya nyumba
 • Mifano ya Bill of Quantities (BoQ)
 • Links za nyumba zaidi ya 260 zinazofaaa kujenga Tanzania na Afrika kwa ujumla
 • Fomu na makabrasha mbalimbali ya kukusaidia ktk ujenzi

Enrolment validity: 365 days

Requirements

 • Jiunge ktk semina hii kisha uwe na notebook yako
 • Andaa maswali yako uweze uliza
 • Utashiriki semina kwa kutazama video mbalimbali

Target Audience

 • Vijana na wazee
 • Wanategemea kufanya ujenzi
 • Wanaotaka kufanya ujenzi ulio bora
 • Mafundi na wataalamu
 • Waafrika wote
 • Watumiaji wa www.makazi.ne.tz

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

Jasiri
Logo
Register New Account
Reset Password